Nyayo hizi ziligunduliwa mwaka 1978 na mtafiti wa mambo ya kale Dk Mary Leakey na timu yake ya watafiti na walizifukia nyayo hizo kuzihifadhi ambapo mwaka 1990 mimea ya migunga na mimea mingine ikaota juu yake na kutishia uharibifu wa nyayo hizo
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.