Profesa Charles Musiba
Mwaka 1998 nyayo hizo zilifukiwa tena baada ya kufukuliwa na kuhifadhiwa kitaalam kwa kutumia nyenzo maalum zilizotengenezwa na taasisi ya uhifadhi ya Getty ya nchini Marekani.
Zoezi la ufukuaji wa nyayo hizi lilianza Februari 8, mwaka huu mara baada ya wanasayansi , watafiti na wataalam wa mambo ya miamba, kumbukumbu kuwasili kutoka nje ya nchi na ndani katika eneo la Laitoli.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.