UFUKUAJI WA NYAYO-NGORONGORO
Wataalam na wanasayansi wa ndani na nje ya nchi, wakianza kazi ya ufukuaji wa nyayo za zamadam katika eneo la Laetoli Ngorongoro, kazi ambayo inaongozwa na Profesa Phidelis Masao wa chuo kikuu cha Dar es Salaam na Profesa Charles Musiba wa chuo kikuu cha Denver nchini Marekani
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.