UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI [UVCCM] UMESHIRIKI KATIKA KUFANYA USAFI NA KUWaFARIJI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI KUU YA SERIKALI YA MKOA WA ARUSHA YA MOUNT MERU IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA,KUSHOTO MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA LA UMOJA HUO NA MBUNGE WA VITI MAALUMU CATHERIN MAGIGE AKIWA NA MMOJA YA WATOTO WALIOZALIWA KATIKA HOSPITALI HIYO NA KULIA NI MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA ANNA MSUYA
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.